Kiongozi wa Scotland Nicola Sturgeon ameomba rasmi kufanyika kwa mara ya pili kura ya maoni juu ya uhuru wa nchi yake na kujitenga na Uingereza na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa kauli moja kurefusha jukumu la kulinda amani katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.