1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.05.2021 - Matangazo ya Asubuhi

1 Mei 2021

India bado inakabiliwa na wimbi kubwa la maambukizi ya virusi vya corona. Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Myanmar ameonya kuhusu kuongezeka kwa machafuko nchini humo. Wizara ya Ulinzi ya Marekani imetangaza kusitisha ufadhili wa ujenzi wa ukuta na Mexico.

https://p.dw.com/p/3sp7o