SiasaKimataifa02.05.2021 - Matangazo ya Asubuhi To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaKimataifaRashid Chilumba02.05.20212 Mei 2021Korea Kaskazini imesema haina mpango wa kufanya mazungumzo na Marekani. Wanadiplomasia wa Ulaya wamesema mazungumzo juu ya mkataba wa nyuklia na Iran yanajikongoja. Msaada wa Covid-19 kutoka Taiwan umesafirishwa leo kwenda India. https://p.dw.com/p/3sqeaMatangazo