1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.05.2021 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

2 Mei 2021

Korea Kaskazini imesema haina mpango wa kufanya mazungumzo na Marekani. Wanadiplomasia wa Ulaya wamesema mazungumzo juu ya mkataba wa nyuklia na Iran yanajikongoja. Msaada wa Covid-19 kutoka Taiwan umesafirishwa leo kwenda India.

https://p.dw.com/p/3sqdx