Rais wa Marekani Donald Trump amesema yeye na mkewe Melania wameambukizwa virusi vya corona na wanakwenda kukaa karantini// Rais Uhuru Kenyatta amekanusha madai kuwa atawania kipindi cha tatu baada ya kukamilisha muhula wake wa pili na wa mwisho kulingana na katiba ya Kenya