Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Annalena Baerbock yuko ziarani nchini China// Sakata la kuwahamisha wakazi wa Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha, limepiga hatua mpya baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuunda tume mbili ili kuchuguza sakata hilo kisayansi.