Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi wake kuhusu mashambulizi dhidi ya raia na miundombinu ya afya kaskazini magharibi mwa Syria//Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi wanachama wa jumuiya ya kujihami ya NATO, wamekutana mjini Brussels// Kongamano la biashara na uwekezaji kati ya Ujerumani na Afrika limefunguliwa rasmi hii Leo jijini Nairobi.