Wakati vita vikiendelea huko Gaza, makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na kundi la Hezbollah yako hatarini kuvunjika// Leo ni Siku ya Kimataifa ya Watu Wenye Ulemavu, huku kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni ''Kukuza Uongozi wa Watu Wenye Ulemavu kwa Mustakabali Jumuishi na Endelevu.