1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

05.02.2017-Matangazo ya Mchana Saa 7:00 (Afrika Mashariki)

5 Februari 2017

https://p.dw.com/p/2X0VT

Miongoni mwa yaliyomo kwenye matangazo ya mchana leo:

Mahakama ya rufaa nchini Marekani yakataa kesi iliyowasilishwa na wizara ya sheria nchini humo kutaka uamuzi uliositisha kwa muda utekelezwaji wa amri inayowazuia watu kutoka nchi 7 za Kiislamu kuingia nchini Marekani kubatilishwa.

Waziri Mkuu wa Romania asema amri iliyoondolea makosa baadhi ya kashfa za ufisadi kufutiliwa mbali.

Fainali ya ubingwa wa mataifa ya Afrika katika soka ni leo kati ya Misri na Cameroon..