Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron anatakiwa kuumaliza mzozo wa kisiasa ulioibuka nchini Ufaransa baada ya Michel Barnier kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kuondolewa madarakani// Maelfu ya raia wa Georgia ambao ni wafuasi wa Umoja wa Ulaya wanaandamana katika mji mkuu wa Tbilisi wakiipinga serikali ya kitaifa ya kihafidhina.