Mawaziri wa mambo ya kigeni wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Usalama na Ushirikiano barani Ulaya, OSCE wanakutana nchini Malta// Wawekezaji kutoka ndani na nje ya Burundi wametakiwa kufanya kila juhudi ili kuhakikisha Burundi inayafikia malengo ya maendeleo endelevu// Wasomi katika masuala ya bioanuwai barani Afrika wamezitaka serikali za Magharibi kuwekeza zaidi katika utafiti.