Tuliyo nayo ni pamoja na : Rais Donald Trump azidisha vita vya kibiashara kati ya Marekani na China// Kansela wa Ujerumani Angela Merkel na rais wa Ufaransa Emmannuel Macron wazungumzia uhamiaji //Waandamanaji nchini Iraq wachoma moto ubalozi wa Iran mjini Basra.