Siasa09.10.2020 Taarifa ya Habari ya AsubuhiTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaSudi Mnette09.10.20209 Oktoba 2020Rais Donald Trump wa Marekani amesema anaendelea vyema kiafya baada ya kubainika kuwa na virusi vya corona wiki moja iliyopita na kwamba atajaribu kufanya mkutano wa kampeni Jumamosi usiku mjini Florida.https://p.dw.com/p/3jf17Matangazo