Wasyria wanatarajia kuanza ukurasa mpya baada ya kuanguka kwa utawala wa Rais Bashar al Assad// Rais wa zamani wa Ghana John Drahami Mahama amepata ushindi wa kihistoria katika uchaguzi uliofanyika mwishoni mwa juma//Mapigano yameendelea kuripotiwa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kati ya jeshij la serikali na waasi wa M23.