Rais mpya wa Malawi Lazarus Chakwera amesema anataka kuhakikisha kuwa Wamalawi wote wanaishi katika nchi yenye uongozi unaowaunganisha na utakaotengeneza mazingira ya kila raia kupata mafanikio// Wanawake kutoka Lindi na Mtwara nchini Tanzania wanakabiliwa na changamoto za kudhulumiwa mali, kukosa haki na kushindwa kujisimamia pindi ndoa zinapovunjika