Aliyekuwa mkuu wa serikali katika ngome ya waasi ya Idlib, kaskazini-magharibi mwa Syria, Mohammed al-Bashir amejitangaza kuwa ataongoza kipindi cha mpito cha serikali ya Syria hadi Machi mwaka 2025+++Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini Tanzania, kimelaani vikali mauaji na udhalilishaji uliofanywa kwa wagombea wa chama hicho wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa.