Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz ametoa mwito kwa wafanyibiashara hasa wa kibinafsi kuwekeza zaidi nchini Ukraine iliyoharibiwa kwa vita/ Waziri Mkuu mpya wa Syria Mohammad al-Bashir amesema utawala wake utatenda haki kwa raia wote wa Syria