Israel yathibitisha kushambulia maeneo 350 ya kijeshi nchini Syria. Shirika la kimataifa la Amnesty International lawatuhumu wanajeshi kadhaa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron aahidi kumteua Waziri Mkuu mpya ndani ya saa 48 zijazo.