Rais William Ruto wa Kenya amesema, atawafikia Wakenya wote bila kujali mirengo yao ya kisiasa kwa lengo la kuwa na taifa dhabiti na imara+++Msemaji wa serikali mpya ya Syria amesema bunge na katiba ya nchi hiyo vitasitishwa kwa kipindi cha miezi mitatu ya mpito baada ya kuangushwa kwa serikali ya aliyekuwa Rais wa taifa hilo Bashar al Assad.