Kansela Angela Merkel anakutana na viongozi wa majimbo kujadili hatua kali za kudhibiti kusambaa virusi vya corona.
Marekani itaanza kutoa chanjo ya virusi vya corona kesho Jumatatu.
Watu 6 wameuwawa na wengine 24 wametekwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.