Viongozi wa kundi la mataifa saba yaliyoendelea kiuchumi duniani ya G7, watajumuika mchana wa leo katika kutafuta muongozo wa pamoja kwa serikali mpya ya Syria+++Umoja wa Afrika umezihimiza Ethiopia na Somalia kutekeleza "bila kuchelewa" makubaliano uliyoyaita kuwa muhimu yaliyofikiwa mapema wiki hii yenye lengo la kumaliza mvutano kati ya mataifa hayo majirani