1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.03.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi

V2 / S12S14 Machi 2024

Kwenye Taarifa ya Habari utasikia pamoja na nyinginezo Umoja wa Ulaya wakubaliana kupeleka msaada zaidi wa dola bilioni 5.5 nchini Ukraine. Marekani na washirika wenzake wajipanga kuongeza njia za majini ili kufikisha misaada zaidi kwenye Ukanda wa Gaza na Kiongozi wa mtandao wa magenge ya wahalifu nchini HAiti aahidi kuendelea mapambano.

https://p.dw.com/p/4dUT7
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki

Zaidi kutoka kipindi hiki

Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Symbolbild Weltwirtschaft Global Economy Globalisierung
Picha: Kheng Ho Toh/PantherMedia/imago imagesPicha: Kheng Ho Toh/PantherMedia/imago images

Asubuhi: Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

Pata Taarifa ya Habari ya Asubuhi, saa 12:00 (Afrika Mashariki)