China, Urusi na Cuba zapata viti Baraza la Haki za Binadamu// Ikiwa zimebaki siku 12 kufanyika uchaguzi Tanzania, mvutano umezuka juu ya upigaji kura mara mbili siku ya Oktoba 27 kwa vyombo vya ulinzi na usalama na maafisa wa tume ya uchaguzi, na Oktoba 28 kwa wapiga kura wote