1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.11.2020 - Matangazo ya Jioni

15 Novemba 2020

Ujerumani yafanya kumbukumbu ya miaka 75 ya wahanga wa vita na ukatili wa udikteta. Idadi ya watu waliokimbia machafuko nchini Ethiopia yapindukia 20000. Viongozi wa waasi warejea nchini Sudan kutekeleza mkataba wa amani.

https://p.dw.com/p/3lKPc