Tuliyo nayo ni pamoja na : Waziri Mkuu wa Israel Benjamini Netanyahu aungana na Rais wa Ufaransa Emanuel Macron katika kumbukumbu ya mauaji ya Holocaust// Mshindani wa Kansela Merkel katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu Martin Schulz ataka Ujerumani iwekeze zaidi katika miundo mbinu.