Nchini Tanzania, zinasema vijana wengi wanakwenda kwenye kampeni kutokana na kuvutiwa na burudani za wasanii// Jamii ya Mayahudi nchini Ujerumani ilipitia masaibu makubwa kwenye mikono ya utawala wa Kinazi, ambao uliangamisha maisha ya watu milioni sita wa jamii hiyo