Umoja wa Ulaya umesema unaendelea kufanyia kazi makubaliano mapya ya Brexit, na kutupilia mbali kauli ya waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson, kuwa wako tayari kuondoka bila makubaliano, ukiitaja kama upuuzi// Mkuu wa jeshi la polisi, nchini Tanzania, IGP Simon Sirro ametoa onyo kali, akisema jeshi hilo limegundua vyama vya siasa vinavyotaka kuvuruga uchaguzi mkuu ujao