Miongoni mwa yaliyomo kwenye matangazo yetu ya mchana ni New Zealand inajitayarisha kwa mazishi ya watu waliopoteza maisha kwenye shambulio la siku ya Ijumaa, Familia za wahanga wa ajali ya ndege ya Ethiopia wakabidhiwa majivu kufanya maziko ya ishara na matukio yaliyovuma barini Afrika wiki hii, kwenye Afrika Wiki hii.