Miongoni mwa tuliyonayo kwenye taarifa ya habari ni Shirika la Afya Ulimwenguni lasema kufungwa mipaka pekee hakutavizuia virusi vya mpox kusambaa, Balozi wa Ujerumani nchini Urusi asema Moscow haina mpango wa mazungumzo ya amani na Ukraine Na Wanafunzi 20 wa vyuo vikuu nchini Nigeria watekwa na watu wenye silaha.