Waziri Mkuu wa serikali ya Libya inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa Fayez Serraj ametangaza nia ya kukabidhi madaraka// Jeshi la Uganda linaendesha operesheni ya kukabiliana na zaidi ya wafungwa 200 waliotoroka kutoka gereza kuu la kaskazini mashariki