Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya Kaja Kallas na Rais wa Tume ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen wamesema umoja huo utaanzisha mawasiliano na uongozi mpya wa Syria+++Chama kikuu cha upinzani, nchini Tanzania CHADEMA, leo kimefungua dirisha kwa wanachama wake kuchukua fomu kuwania nafasi za uongozi, huku Tundu Lissu, akiwa wa kwanza kujitwika jukumu la kuwania nafasi ya uenyekiti.