Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Jenerali maarufu nchini Urusi Igor Kirillov ameuawa pamoja na msaidizi wake mapema Jumanne katika mripuko mjini Moscow/ Waasi wa M23 wasonga mbele siku moja tu baada ya kuvunjika kwa mkutano uliolenga kuwaweka pamoja viongozi wa Kongo na Rwanda kwa ajili ya kusaka amani nchini Kongo