Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mwenyekiti wa chama Kikuu cha upinzani Tanzania, Chadema, Freeman Mbowe, ametoa saa 48, akieleza kuwa baada ya saa hizo, ndipo atatoa jibu la iwapo atatetea kiti chake cha uenyekiti wa taifa wa chama hicho au la/ Urusi imeipuuza sheria ya udhibiti wa silaha zilizotengenezwa tangu enzi za Vita Baridi ikisema imepitwa na wakati.