Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Urusi imesema inamzuilia mshukiwa aliyemuua Luteni Jenerali Igor Kirillov mjini Moscow/ Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Kiuchumi na Kifedha ya Afrika ya Kati, Cémac, wamehimiza kuchukua hatua za haraka katika kukabiliana na hali ya kiuchumi ya jumuiya hiyo ambayo inatia wasiwasi.