Taarifa ya habari ya Asubuhi kutoka maeneo mbalimbali ulimwenguni inasikika hapa. Miongoni mwa nyinginezo ni Rais Volodymyr Zelensky awaomba washirika wa Ulaya kuungana kuisaidia Ukraine: Uturuki yatolea wito mataifa makubwa kuliondoa kundi linalotawala Syria kwenye orodha ya magaidi Na Kimbunga Chido chawaua watu 13 nchini Malawi, huku 45,000 wakiathirika. Sikiliza zaidi.