Urusi imefanya mashambulizi ya makombora alfajiri ya leo Kyiv, yakiua mtu mmoja na kuharibu ofisi sita za kibalozi pamoja na chuo kikuu katikati mwa mji huo mkuu wa Ukraine+++Mke wa mwanawanasiasa maarufu wa upinzani nchini Uganda Dokta Kizza Besigye amesema kuwa mumewe hataomba dhamana katika mahakama ya jeshi