Ethiopia imetia saini sheria inayotoa msamaha kwa wafungwa wa kisiasa walioachiwa huru hivi karibuni //Suala la mizozo ya kimataifa ya biashara iliyosababishwa na sera za kujilinda za rais Donald Trump wa Marekani, kuchukua nafasi kubwa katika mkutano mawaziri wa fedha kutoka kundi la mataifa 20 yaliostawi // Wanasayansi wako katika ujumbe wa kupambana na ongezeko la joto duniani