Uganda: Aliyekuwa naibu wa spika Jacob Oulanya ametangazwa kuwa mshindi katika kinyang’anyiro cha kiti cha spika wa bunge / Goma: Ripoti ya uchunguzi wa hali ya usalama baada ya kukanyaga tope la Volcano/ Guterres: Dunia ichukue mtazamo wa kivita dhidi ya Covid-19/ Aung San Suu Kyi aonekana hadharani kwa mara ya kwanza/ Maasi ya Darfur: Ushahidi waanza kutolewa ICC