Mamia kwa maelfu ya watu waandamana nchini Belarus kumtaka rais Alexander Luakshenko kujiuzulu. Wanajeshi nchini Mali wamekubali kuwaachia viognozi wa serikali wanaowashikilia tangu kufanyika mapinduzi. Klabu ya Bayern Munich imenyakua ubingwa wa Champions League kwa mara ya sita.