Chama cha Republican nchini Marekani kimemchagua Donald Trump kuwa mgombea wake wa kiti cha urais. Jumuiya ya ECOWAS na wanajeshi wa Mali wameshindwa kuafikiana juu ya kurejea kwa utawala wa kiraia. Viongozi wa upinzani na maandamano ya umma wakamatwa nchini Belarus.