Siku mia moja baada ya kuchukua hatamu za uongozi, wachambuzi wanasema Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye hajaleta mabadiliko yoyote nchini humo// Hakuna mkataba wa kurejesha uhusiano baina ya Saudi Arabia na Israel, lakini tayari kumekuwa na ujumbe wa kukaribiana na Wayahudi