Rais wa Ukraine asema mataifa ya magharibi yanahitaji ujasiri zaidi katika kuisadia nchi yake. Uturuki yasema dunia inapaswa kusikiliza hoja za Urusi badala ya kuiwekea vikwazo. Mjumbe wa Umoja wa Ulaya afanya mazungumzo Iran katikati mwa matumaini ya kufufua mpango wa nyuklia wa nchi hiyo.