Marekani imeufunga rasmi ubalozi wake mdogo katika mji wa Chengdu nchini China. Familia ya rais wa zamani wa Tanzania imesema kiongozi huyo alifariki dunia kwa mshutko wa moyo. Ujerumani imekataa pendekezo la kuikaribisha tena Urusi kwenye kundi la mataifa ya G7.