SiasaKimataifa27.12.2020 - Matangazo ya Mchana To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaKimataifaRashid Chilumba27.12.202027 Desemba 2020Mataifa ya Umoja wa Ulaya yaanza kutoa chanjo ya virusi vya corona. Vituo vya kupigia kura vimefunguliwa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa uchaguzi wa rais na Bunge. Maporomoko ya theluji yamewauwa watu 10 nchini Iran. https://p.dw.com/p/3nFtrMatangazo