Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier, amelivunja bunge+++Nchini Kenya, mashirika ya haki za binadamu, chama cha mawakili, na asasi nyingine zimelaani visa vya utekaji wa watu kiholela+++Vikosi vya Israel leo vimeivamia Hospitali ya Kamal Adwan, mojawapo ya hospitali tatu za mwisho Kaskazini mwa Ukanda wa Gaza.