1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.03.2021 Matangazo ya Jioni

28 Machi 2021

Waziri mkuu wa Armenia Nikol Pashinyan ametangaza kujiuzulu kuruhusu uchaguzi mpya wa mapema wa bunge ufanyike. Pashinyan ametangaza uamuzi wake huo leo wakati akizungumza na wakaazi wa mkoa wa Armavir ambapo amesema atajiuzulu mwezi Aprili.

https://p.dw.com/p/3rIvK