Tanzania: Chama cha wananchi, CUF kimefanya mkutano wake mkuu/ Uganda: Jumuiya ya wasanii inapinga vikali sheria mpya zinazowataka kuwasilisha kazi zao kwenye tume ya mawasiliano kabla ya kuzirekodi na kuzisambaza/ Rais wa Mali ametangaza mipango ya kuunda serikali itakayojumuisha upande wa upinzani/ Maisha ya muislamu katika jeshi la Ujerumani yakoje?