Rais wa Mali ametangaza mipango ya kuunda serikali itakayojumuisha upande wa upinzani. Korea Kaskazini imesema silaha zake za nyuklia zinatoa ulinzi dhidi ya kitisho kutoka nje. Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu arejea nyumbani kutoka Ubelgiji