1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

28.09.2024 - Matangazo ya Jioni

28 Septemba 2024

Kundi la Hezbollah laahidi kulipiza kisasi baada ya jeshi la Israel kumuua kiongozi wake Hassan Nasrallah // Watu wasiopungua 59 wafariki Nepal kufuatia mafuriko na maporomoko ya ardhi // Somalia yasema vitendo vya Ethiopia huko Somaliland "vinakiuka waziwazi" uadilifu wa eneo lake

https://p.dw.com/p/4lCCA