Miili 14 imepatikana baada ya kutokea maporomoko ya ardhi katika kijiji cha Musugu, mashariki mwa Uganda// Matokeo ya awali ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana nchini Tanzania, yameanza kutangazwa huku wapinzani wakijipatia ushindi katika baadhi ya maeneo-